21-11-2023
Mikutano ya kijiji ilivyorejea Madanga, Pangani.
Hadi kufikia March 2023, Kijiji cha Madanga, Wilaya ya Pangani, hakikuwa kimefanya mikutano kwa takribani miaka mitatu. Hii yote ni kutokana na migogoro iliyokuwepo miongoni mwa viongozi wa vitongoji na kata. Lakini baada ya kuja kwa uraghbishi kijiji hapo, migogoro ilitatuliwa, na mikutano ikapangwa kufanyika tena. Sikiliza mazungumzo haya kujua haya yote yalifanikiwa vipi.