Kwa muda mrefu, wanakijiji wa Bweni, wilaya ya Pangani Mkoa wa Tanga, wamkuwa na changamoto mbalimbali zinazohusiana na huduma ya afya. Si ajabu kwamba Uraghbishi ulipoanza kijijini hapo changamoto hii ikawa moja ya kipaumbele chao cha juu kabisa. Fuatilia mazungumzo haya kujua namna gani changamoto hii ilitatuliwa.